The Bible Software
bible.software › Wagalatia › Wagalatia 3 › Wagalatia 3:6

Wagalatia 3:6

Chukueni kwa mfano habari za Abrahamu: yeye alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu.

Biblia Takatifu

In The King James Version

Even as Abraham believed God, and it was accounted to him for righteousness.

In Context

5Je, Mungu huwajalia Roho na kutenda miujiza kati yenu ati kwa sababu mnatimiza yanayotakiwa na sheria, ama kwa sababu mnasikia Habari Njema na kuiamini?

7Sasa basi jueni kwamba watu wenye kumwamini ndio walio watoto halisi wa Abrahamu.

Read all of Wagalatia 3

Cross References

Romans 4:3Kwa maana, Maandiko Matakatifu yasema: “Abrahamu alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu.”

Romans 4:21Alijua kwamba Mungu anaweza kuyatekeleza yale aliyoahidi.

Romans 9:32Kwa nini? Kwa sababu walitegemea matendo yao badala ya kutegemea imani. Walijikwaa juu ya jiwe la kujikwaa

Galatians 3:9Basi, wale walio na imani wanabarikiwa pamoja na Abrahamu aliyeamini.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study Wagalatia 3:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← Wagalatia 3:5Wagalatia 3Wagalatia 3:7 →