Wagalatia 4:13
Ninyi mwajua kwamba ni kwa ajili ya udhaifu wangu niliwahubiria Injili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ye know how through infirmity of the flesh I preached the gospel unto you at the first.
In Context
Cross References
Leviticus 13:40“Wakati mwanaume hana nywele naye ana upaa, yeye ni safi.
1 Corinthians 2:3Mimi nilikuja kwenu nikiwa dhaifu na mwenye hofu na kwa kutetemeka sana.
2 Corinthians 11:6Inawezekana mimi nikawa si mnenaji hodari, lakini ni hodari katika elimu. Jambo hili tumelifanya liwe dhahiri kwenu kwa njia zote.
2 Corinthians 12:7Ili kunizuia nisijivune kwa sababu ya ufunuo huu mkuu, nilipewa mwiba katika mwili wangu, mjumbe wa Shetani, ili anitese.
Galatians 1:6Nashangaa kwamba mnamwacha upesi hivyo yeye aliyewaita kwa neema ya Kristo na kuifuata Injili nyingine,