Wagalatia 4:31
Kwa hiyo, basi, ndugu, sisi si watoto wa mtumwa bali wa mama huru.
Biblia Takatifu
In The King James Version
So then, brethren, we are not children of the bondwoman, but of the free.
In Context
Cross References
John 8:36Kama mwana akiwapeni uhuru mtakuwa huru kweli.
Galatians 5:13Ninyi, ndugu, mliitwa muwe watu huru. Lakini uhuru huo usiwe kisingizio cha kutawaliwa na tamaa za kidunia; ila mnapaswa kutumikiana kwa upendo.
1 John 3:1Oneni basi, jinsi Baba alivyotupenda mno hata tunaitwa watoto wa Mungu! Na kweli, ndivyo tulivyo. Ndiyo maana ulimwengu haututambui sisi, kwani haumjui Mungu.