bible.software › Wagalatia › Wagalatia 4 › Wagalatia 4:8
Wagalatia 4:8
Zamani hamkumjua Mungu na hivyo mkatumikia miungu isiyo miungu kweli.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Howbeit then, when ye knew not God, ye did service unto them which by nature are no gods.
In Context
7Basi, wewe si mtumwa tena, bali mwana. Na ikiwa ni mwana, basi, wewe utapokea yote Mungu aliyowawekea watoto wake.
9Lakini sasa, kwa vile mnamjua Mungu, au tuseme mnajulikana na Mungu, mnawezaje tena kurudi kwa wale pepo maskini na dhaifu hata kutaka kuwatumikia tena?
Read all of Wagalatia 4
Cross References
John 1:10Basi, Neno alikuwako ulimwenguni; na kwa njia yake ulimwengu uliumbwa, lakini ulimwengu haukumtambua.
This Verse In Other Editions
Study Wagalatia 4:8