Wagalatia 4:9
Lakini sasa, kwa vile mnamjua Mungu, au tuseme mnajulikana na Mungu, mnawezaje tena kurudi kwa wale pepo maskini na dhaifu hata kutaka kuwatumikia tena?
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
8Zamani hamkumjua Mungu na hivyo mkatumikia miungu isiyo miungu kweli.
10Bado mnaadhimisha siku, miezi na miaka!
Cross References
Luke 5:38Divai mpya hutiwa katika viriba vipya!
John 10:27Kondoo wangu huisikia sauti yangu; mimi nawajua, nao hunifuata.