Wagalatia 5:2
Sikilizeni! Mimi, Paulo, nawaambieni kwamba kama mkikubali kutahiriwa, basi Kristo hatawafaidia chochote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, I Paul say unto you, that if ye be circumcised, Christ shall profit you nothing.
In Context
3Namshuhudia tena kila mtu anayekubali kutahiriwa kwamba inampasa kushika sheria yote.
Cross References
Acts 15:24Tumesikia kwamba kuna baadhi ya watu waliokuja huko kutoka kwetu bila ruhusa yetu na kuwasumbua, wakiyataabisha mawazo yenu.
Romans 9:31Lakini Israeli, ambao walijitahidi kupata haki kwa njia ya sheria, hawakuipata.
1 Corinthians 16:21Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe.
Galatians 2:3Lakini hata Tito ambaye alikuwa Myunani, hakulazimika kutahiriwa.
Galatians 5:6Kwa maana ndani ya Kristo Yesu, kutahiriwa au kutokutahiriwa hakuleti tofauti, bali lililo muhimu ni imani itendayo kazi kwa njia ya upendo.
1 Thessalonians 2:18Maana tulitaka kuja kwenu, hasa mimi Paulo, nilitaka kuja tena na tena, lakini Shetani akatuzuia.