Wagalatia 5:9
“chachu kidogo tu huchachusha donge lote la unga!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
A little leaven leaveneth the whole lump.
In Context
8Aliyesababisha hali hiyo si Mungu ambaye amewaiteni.
Cross References
Matthew 16:6Yesu akawaambia, “Muwe macho na mjihadhari na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo!”
Mark 8:15Yesu akawaonya, “Angalieni sana! Jihadharini na chachu ya Mafarisayo na chachu ya Herode.”
Luke 13:21Ni kama chachu aliyoitwaa mama mmoja na kuichanganya pamoja na unga debe moja kisha unga wote ukaumuka wote.”
1 Corinthians 15:33Msidanganyike! Urafiki mbaya huharibu tabia njema.