Wagalatia 6:11
Tazameni jinsi nilivyoandika kwa herufi kubwa, kwa mkono wangu mwenyewe.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Ye see how large a letter I have written unto you with mine own hand.
In Context
10Kwa hiyo, tukiwa bado na wakati, tuwatendee watu wote mema, na hasa ndugu wa imani yetu.
Cross References
Romans 16:22Nami Tertio, ninayeandika barua hii nawasalimuni katika Bwana.