Wagalatia 6:18
Ndugu, nawatakieni ninyi nyote neema ya Bwana wetu Kristo. Amina.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Brethren, the grace of our Lord Jesus Christ be with your spirit. Amen.
In Context
17Basi, sasa mtu yeyote asinisumbue tena, maana alama nilizo nazo mwilini mwangu ni zile za Yesu.
Cross References
Romans 16:20Naye Mungu aliye chanzo cha amani hatakawia kumponda Shetani chini ya miguu yenu. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe nanyi.
2 Corinthians 13:14(G13-13) Neema ya Bwana Yesu Kristo na upendo wa Mungu na umoja wa Roho Mtakatifu, viwe nanyi nyote.
Philemon 1:25Nawatakieni ninyi nyote neema ya Bwana wetu Yesu Kristo.