Wagalatia 6:3
Mtu akijiona kuwa ni kitu, na kumbe si kitu, huyo anajidanganya mwenyewe.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For if a man think himself to be something, when he is nothing, he deceiveth himself.
In Context
2Saidianeni kubeba mizigo yenu na hivyo mtatimiza sheria ya Kristo.
Cross References
Luke 18:11Huyo Mfarisayo akasimama, akasali kimoyomoyo: Ee Mungu, nakushukuru kwa vile mimi si kama watu wengine: walafi, wadanganyifu au wazinzi. Nakushukuru kwamba mimi si kama huyu mtoza ushuru.
Romans 12:16Muwe na wema uleule kwa kila mtu. Msijitakie makuu, bali jishugulisheni na watu wadogo. Msijione kuwa wenye hekima sana.
1 Corinthians 8:2Anayefikiri kwamba anajua kitu, kwa kweli hajui chochote kama inavyompasa.
2 Corinthians 3:5Si kwamba sisi tunaweza kufanya chochote kwa nguvu zetu wenyewe, ila uwezo wetu wote hutoka kwa Mungu:
Galatians 2:6Lakini watu hawa wanaosemekana kuwa ni viongozi—kama kweli walikuwa hivyo au sivyo, kwangu si kitu, maana Mungu hahukumu kwa kuangalia mambo ya nje—watu hawa hawakuwa na kitu cha kuongeza katika Habari hii Njema kama niihubirivyo.