The Bible Software
bible.software › Wagalatia › Wagalatia 6 › Wagalatia 6:9

Wagalatia 6:9

Basi, tusichoke kutenda mema; maana tusipolegea tutavuna mavuno kwa wakati wake.

Biblia Takatifu

In The King James Version

And let us not be weary in well doing: for in due season we shall reap, if we faint not.

In Context

8Apandaye katika tamaa za kidunia, atavuna humo uharibifu; lakini akipanda katika Roho, atavuna kutoka kwa Roho uzima wa milele.

10Kwa hiyo, tukiwa bado na wakati, tuwatendee watu wote mema, na hasa ndugu wa imani yetu.

Read all of Wagalatia 6

Cross References

Matthew 10:22Watu wote watawachukieni kwa sababu ya jina langu. Lakini atakayevumilia mpaka mwisho, ataokolewa.

Matthew 25:17Hali kadhalika na yule aliyekabidhiwa talanta mbili akapata faida talanta mbili.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study Wagalatia 6:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← Wagalatia 6:8Wagalatia 6Wagalatia 6:10 →