Genesis 11:12
Wakati Arfaksadi alipokuwa na miaka thelathini na mitano, akamzaa Shela.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Arphaxad lived five and thirty years, and begat Salah:
In Context
11Baada ya kumzaa Arfaksadi, Shemu aliishi miaka 500, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
13Baada ya Arfaksadi kumzaa Shela, aliishi miaka 403, akazaa watoto wengine wa kiume na wa kike.
Cross References
1 Chronicles 1:18Arfaksadi akamzaa Shela, 2 Shela akamzaa Eberi. 1