bible.software › Genesis › Genesis 14 › Genesis 14:21
Genesis 14:21
Mfalme wa Sodoma akamwambia Abramu, “Nipe hao watu na hizo mali uchukue wewe mwenyewe.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the king of Sodom said unto Abram, Give me the persons, and take the goods to thyself.
In Context
20Abarikiwe Mungu Aliye Juu Sana, 2 ambaye amewaweka adui zako mkononi mwako.” Ndipo Abramu akampa Melkizedeki sehemu ya kumi ya kila kitu.
22Lakini Abramu akamwambia mfalme wa Sodoma, “Nimeinua mkono wangu kwa Bwana, Mungu Aliye Juu Sana, Muumba wa mbingu na dunia, na nimeapa
Read all of Genesis 14
Cross References
Genesis 14:11Wale wafalme wanne wakateka mali yote ya Sodoma na Gomora pamoja na vyakula vyao vyote, kisha wakaenda zao.
This Verse In Other Editions
Study Genesis 14:21