Genesis 16:4
Akakutana kimwili na Hagari, naye akapata mimba. Hagari alipojua kuwa ana mimba, alianza kumdharau Sarai.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 1:6Kwa sababu Bwana alikuwa amemfunga tumbo, mke mwenzake alikuwa anamchokoza ili kumuudhi.
Proverbs 30:20“Huu ndio mwendo wa mwanamke mzinzi, 2 hula akapangusa kinywa chake na kusema, 2 ‘Sikufanya chochote kibaya.’ 1
1 Corinthians 4:6Basi ndugu zangu, mambo haya nimeyafanya kwangu binafsi na Apolo kwa faida yenu, ili mweze kujifunza kutoka kwetu maana ya ule usemi usemao, “Msivuke zaidi ya yale yaliyoandikwa.” Hivyo hamtajivunia mtu fulani na kumdharau mwingine.