Genesis 2:15
Bwana Mungu akamchukua huyo mtu, akamweka kwenye Bustani ya Edeni ailime na kuitunza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD God took the man, and put him into the garden of Eden to dress it and to keep it.
In Context
14Jina la mto wa tatu ni Tigrisi, unaopita mashariki ya Ashuru. Mto wa nne ni Frati.
16Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akamwambia, “Uko huru kula matunda ya mti wowote katika bustani,
Cross References
Genesis 2:2Katika siku ya saba Mungu alikuwa amekamilisha kazi aliyokuwa akiifanya, hivyo siku ya saba akapumzika kutoka kazi zake zote.
Job 31:33kama nimeifunika dhambi yangu kama wanadamu wengine wafanyavyo, 2 kwa kuficha hatia yangu moyoni mwangu, 1
Ephesians 4:28Yeye ambaye amekuwa akiiba, asiibe tena, lakini lazima ajishughulishe, afanye kitu kifaacho kwa mikono yake mwenyewe, ili awe na kitu cha kuwagawia wahitaji.