Genesis 20:4
Wakati huo Abimeleki alikuwa bado hajamsogelea, kwa hiyo akasema, “Je, Bwana utaliharibu taifa lisilo na hatia?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But Abimelech had not come near her: and he said, Lord, wilt thou slay also a righteous nation?
In Context
Cross References
Genesis 18:23Ndipo Abrahamu akamsogelea akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu?
Genesis 20:6Kisha Mungu akamwambia katika ndoto, “Ndiyo, najua ya kwamba umefanya haya kwa dhamiri safi, kwa hiyo nimekuzuia usinitende dhambi. Ndiyo sababu sikukuacha umguse.
2 Samuel 4:11Je, ni mara ngapi zaidi wakati watu waovu wamemuua mtu asiye na hatia akiwa ndani ya nyumba yake mwenyewe na kwenye kitanda chake mwenyewe? Je, sasa nisidai damu yake mikononi mwenu na kuwaondoa duniani?”