Mwanzo 21:15
Maji yalipokwisha kwenye kiriba, akamwacha kijana chini ya mojawapo ya vichaka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the water was spent in the bottle, and she cast the child under one of the shrubs.
In Context
Cross References
Exodus 15:22Kisha Mose akawaongoza Israeli kutoka Bahari ya Shamu na kuingia katika Jangwa la Shuri. Kwa siku tatu walisafiri jangwani bila kupata maji.
2 Kings 3:9Hivyo mfalme wa Israeli akaondoka akiwa pamoja na mfalme wa Yuda na mfalme wa Edomu. Baada ya kuzunguka kwa siku saba, jeshi likawa limeishiwa maji kwa matumizi yao na kwa ajili ya wanyama waliokuwa nao.
Isaiah 44:12Muhunzi huchukua kifaa 2 na kukifanyia kazi kwenye makaa ya moto, 1 hutengeneza sanamu kwa nyundo, 2 huifanyiza kwa nguvu za mkono wake. 1 Huona njaa na kupoteza nguvu zake, 2 asipokunywa maji huzimia. 1