Genesis 23:16
Abrahamu akakubali masharti ya Efroni, akampimia ile fedha aliyotaja masikioni mwa Wahiti: Shekeli 400 za fedha kulingana na viwango vya uzito vilivyokuwa vikitumika wakati huo na wafanyabiashara.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 23:15“Nisikilize, bwana wangu, thamani ya ardhi hiyo ni shekeli 400 za fedha, + 23:15 Shekeli 400 za fedha ni sawa na kilo 4.5. lakini hiyo ni nini kati yako na mimi? Mzike maiti wako.”
Exodus 30:13Kila mmoja anayekwenda upande wa wale waliokwisha hesabiwa atatoa nusu shekeli, + 30:13 Nusu shekeli ni sawa na gramu 6. kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, ambayo ina uzito wa gera ishirini. + 30:13 Gera 20 ni sawa na shekeli moja au gramu 12. Hii nusu shekeli ni sadaka kwa Bwana.
Ezra 8:25nami nikawapimia fedha, dhahabu na vifaa ambavyo mfalme, washauri wake, maafisa wake na Israeli wote waliokuwepo walikuwa wamevitoa sadaka kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu.
Jeremiah 32:9Hivyo nikalinunua shamba hilo lililoko Anathothi kutoka kwa binamu yangu Hanameli, nami nikampimia shekeli kumi na saba + 32:9 Shekeli 17 za fedha ni sawa na gramu 200. za fedha.
Ezekiel 45:12Shekeli moja itakuwa gera ishirini. + 45:12 Gera 20 ni sawa na shekeli 1. Shekeli ishirini, jumlisha na shekeli ishirini na tano, jumlisha na shekeli kumi na tano zitakuwa mina moja. + 45:12 Mina 1 hapa ni sawa na shekeli 60; mina ya kawaida ilikuwa sawa na shekeli 50. 1 Sadaka Na Siku Takatifu (Kutoka 12:1-20; Walawi 23:33-43)
Matthew 7:12Kwa hiyo chochote mnachotaka mtendewe na watu, ninyi nanyi watendeeni vivyo hivyo. Kwa kuwa hii ndiyo Sheria na Manabii. 1 Njia Nyembamba Na Njia Pana