bible.software › Genesis › Genesis 23 › Genesis 23:5
Genesis 23:5
Wahiti wakamjibu Abrahamu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the children of Heth answered Abraham, saying unto him,
In Context
4“Mimi ni mpitaji na mgeni miongoni mwenu. Niuzieni sehemu ya ardhi yenu ili niweze kumzika maiti wangu.”
6“Bwana, tusikilize. Wewe ni mtawala mkuu sana miongoni mwetu. Zika maiti wako katika kaburi unalolipenda kati ya makaburi yetu. Hakuna mtu wa kwetu atakayekuzuia kaburi lake ili kuzika maiti wako.”
Read all of Genesis 23
Cross References
1 Chronicles 1:13Wana wa Kanaani walikuwa: 2 Sidoni, mzaliwa wake wa kwanza, na Hethi,
This Verse In Other Editions
Study Genesis 23:5