Mwanzo 24:16
Huyu msichana alikuwa mzuri sana wa sura, bikira, ambaye hakuna mtu aliyekuwa amekutana naye kimwili. Aliteremka kisimani, akajaza mtungi wake akapanda juu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 12:11Alipokuwa karibu kuingia Misri, akamwambia Sarai mkewe, “Ninajua ya kwamba wewe ni mwanamke mzuri wa sura.
Genesis 39:6Kwa hiyo Potifa akamwachia Yosefu uangalizi wa kila kitu alichokuwa nacho, Yosefu alipokuwa katika uongozi, Potifa hakuwa na sababu ya kujishughulisha na kitu chochote isipokuwa chakula alichokula. Yosefu alikuwa mwenye umbo zuri na sura ya kuvutia;
Song of Solomon 5:2Nililala lakini moyo wangu ulikuwa macho. 1 Sikiliza! Mpenzi wangu anabisha: 2 “Nifungulie, dada yangu, mpenzi wangu, 2 hua wangu, asiye na hitilafu. 1 Kichwa changu kimeloa umande, 2 na nywele zangu manyunyu ya usiku.” 1