bible.software › Mwanzo › Mwanzo 24 › Mwanzo 24:20
Mwanzo 24:20
Akafanya haraka kumimina maji kwenye birika ya kunyweshea wanyama, akakimbia kisimani kuteka maji mengine na akateka ya kuwatosha ngamia wake wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And she hasted, and emptied her pitcher into the trough, and ran again unto the well to draw water, and drew for all his camels.
In Context
19Baada ya kumpa yule mtumishi yale maji, akamwambia, “Nitateka maji kwa ajili ya ngamia zako pia mpaka wote watosheke.”
21Pasipo kusema neno, yule mtumishi akamtazama kwa makini aone kama Bwana ameifanikisha safari yake, au la.
Read all of Mwanzo 24
This Verse In Other Editions
Study Mwanzo 24:20