bible.software › Mwanzo › Mwanzo 24 › Mwanzo 24:66
Mwanzo 24:66
Kisha yule mtumishi akamweleza Isaki mambo yote aliyoyatenda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the servant told Isaac all things that he had done.
In Context
65na akamuuliza yule mtumishi, “Ni nani mtu yule aliye kule shambani anayekuja kutulaki?” Yule mtumishi akajibu, “Huyu ndiye bwana wangu.” Hivyo Rebeka akachukua shela yake akajifunika.
67Ndipo Isaki akamwingiza Rebeka katika hema la Sara mama yake, Isaki akamchukua Rebeka, hivyo akawa mke wake. Isaki akampenda, akafarijika baada ya kifo cha mama yake.
Read all of Mwanzo 24
This Verse In Other Editions
Study Mwanzo 24:66