bible.software › Genesis › Genesis 26 › Genesis 26:6
Genesis 26:6
Hivyo Isaki akaishi huko Gerari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Isaac dwelt in Gerar:
In Context
5kwa sababu Abrahamu alinitii mimi akatunza kanuni zangu na maagizo yangu, amri zangu pamoja na sheria zangu.”
7Watu wa mahali pale walipomuuliza habari za mke wake, akasema, “Huyu ni dada yangu,” kwa sababu aliogopa kusema, “Huyu ni mke wangu.” Alifikiri, “Watu wa mahali pale wataweza kumuua kwa sababu ya Rebeka, kwa kuwa alikuwa mzuri wa sura.”
Read all of Genesis 26
Cross References
Genesis 20:1Basi Abrahamu akaendelea mbele kutoka huko hadi nchi ya Negebu na akaishi kati ya Kadeshi na Shuri. Kwa muda mfupi alikaa Gerari kama mgeni,
This Verse In Other Editions
Study Genesis 26:6