bible.software › Mwanzo › Mwanzo 27 › Mwanzo 27:32
Mwanzo 27:32
Isaki baba yake akamuuliza, “Wewe ni nani?” Akajibu, “Mimi ni mwanao, mzaliwa wako wa kwanza, Esau.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Isaac his father said unto him, Who art thou? And he said, I am thy son, thy firstborn Esau.
In Context
31Naye pia akaandaa chakula kitamu akamletea baba yake. Kisha akamwambia, “Baba yangu, keti ule sehemu ya mawindo yangu, ili upate kunibariki.”
33Isaki akatetemeka kwa nguvu sana, akasema, “Alikuwa nani basi, ambaye aliwinda mawindo akaniletea? Nilikula kabla tu hujaja na nikambariki, naye hakika atabarikiwa!”
Read all of Mwanzo 27
Cross References
Genesis 27:18Akamwendea baba yake akasema, “Baba yangu.” Akajibu, “Naam, mwanangu, wewe ni nani?”
This Verse In Other Editions
Study Mwanzo 27:32