Genesis 27:45
Wakati ndugu yako atakapokuwa hana hasira nawe tena na amesahau uliyomtendea, nitakupelekea ujumbe urudi. Kwa nini niwapoteze wote wawili kwa siku moja?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
44Ukae naye kwa muda mpaka ghadhabu ya ndugu yako itulie.
Cross References
Genesis 4:8Basi Kaini akamwambia ndugu yake Abeli, “Twende shambani.” Walipokuwa shambani, Kaini akamshambulia Abeli ndugu yake, akamuua.
Genesis 27:35Lakini akasema, “Ndugu yako amekuja kwa udanganyifu na akachukua baraka yako.”
Proverbs 19:21Kuna mipango mingi ndani ya moyo wa mtu, 2 lakini kusudi la Bwana ndilo litakalosimama. 1
Acts 28:4Wale wenyeji wa kile kisiwa walipomwona yule nyoka akiningʼinia mkononi mwa Paulo, wakaambiana, “Huyu mtu lazima awe ni muuaji, ingawa ameokoka kutoka baharini, haki haijamwacha aishi.”