Genesis 27:9
Nenda sasa katika kundi ukaniletee wana-mbuzi wawili wazuri, ili niandalie chakula kitamu kwa ajili ya baba yako, kama vile anavyopenda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Sasa, mwanangu, nisikilize kwa makini na ufanye yale ninayokuambia:
10Kisha umpelekee baba yako ale, ili apate kukubariki kabla hajafa.”
Cross References
Judges 13:15Manoa akamjibu yule malaika wa Bwana, “Twakuomba usubiri kwanza ili tuweze kuandaa mwana-mbuzi kwa ajili yako.”