Genesis 28:6
Sasa Esau akajua kuwa Isaki amembariki Yakobo na kumtuma kwenda Padan-Aramu ili achukue mke huko na kwamba alipombariki alimwamuru akisema, “Usioe mke katika binti za Wakanaani,”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7tena kwamba Yakobo amewatii baba yake na mama yake naye amekwenda Padan-Aramu.
Cross References
Genesis 27:33Isaki akatetemeka kwa nguvu sana, akasema, “Alikuwa nani basi, ambaye aliwinda mawindo akaniletea? Nilikula kabla tu hujaja na nikambariki, naye hakika atabarikiwa!”