bible.software › Mwanzo › Mwanzo 29 › Mwanzo 29:26
Mwanzo 29:26
Labani akajibu, “Si desturi yetu kumwoza binti mdogo kabla ya kumwoza binti mkubwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Laban said, It must not be so done in our country, to give the younger before the firstborn.
In Context
25Kesho yake asubuhi, Yakobo akagundua kuwa amepewa Lea! Basi Yakobo akamwambia Labani, “Ni jambo gani hili ulilonitendea? Nilikutumikia kwa ajili ya Raheli, sivyo? Kwa nini umenidanganya?”
27Maliza juma la arusi ya binti huyu, kisha pia nitakupa huyu binti mdogo, kwa kutumika miaka mingine saba.”
Read all of Mwanzo 29
Cross References
Genesis 48:18Yosefu akamwambia, “Hapana, baba yangu, huyu ndiye mzaliwa wa kwanza; uweke mkono wako wa kuume juu ya kichwa chake.”
This Verse In Other Editions
Study Mwanzo 29:26