Genesis 29:28
Naye Yakobo akafanya hivyo. Akamaliza juma na Lea, kisha Labani akampa Raheli binti yake kuwa mke wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jacob did so, and fulfilled her week: and he gave him Rachel his daughter to wife also.
In Context
29Labani akamtoa Bilha mtumishi wake wa kike kwa Raheli ili kuwa mtumishi wake.
Cross References
Leviticus 18:18“ ‘Usimchukue dada wa mke wako kuwa mke mwenza, na kukutana naye kimwili wakati bado mke wako anaishi.