bible.software › Genesis › Genesis 3 › Genesis 3:2
Genesis 3:2
Mwanamke akamjibu nyoka, “Tunaweza kula matunda ya miti iliyoko bustanini,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the woman said unto the serpent, We may eat of the fruit of the trees of the garden:
In Context
1Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa porini ambao Bwana Mungu aliwafanya. Nyoka akamwambia mwanamke, “Ati kweli Mungu alisema, ‘Kamwe msile matunda ya mti wowote wa bustanini’?”
3lakini Mungu alisema, ‘Kamwe msile tunda la mti ulio katikati ya bustani, wala kuugusa, la sivyo mtakufa.’ ”
Read all of Genesis 3
Cross References
Psalms 58:4Sumu yao ni kama sumu ya nyoka, 2 kama ile ya fira ambaye ameziba masikio yake, 1
This Verse In Other Editions
Study Genesis 3:2