Genesis 30:22
Ndipo Mungu akamkumbuka Raheli, akasikia maombi yake na akafungua tumbo lake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And God remembered Rachel, and God hearkened to her, and opened her womb.
In Context
23Akapata mimba na akamzaa mwana na kusema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.”
Cross References
Genesis 8:1Mungu akamkumbuka Noa na wanyama wote wa porini na wa kufugwa waliokuwa naye ndani ya safina, akatuma upepo ukavuma katika dunia, nayo maji yakaondoka.
Genesis 25:21Isaki akamwomba Bwana kwa ajili ya mke wake, kwa sababu alikuwa tasa. Bwana akajibu maombi yake na Rebeka mkewe akapata mimba.
Genesis 30:2Yakobo akamkasirikia, akamwambia, “Je, mimi ni badala ya Mungu, ambaye amekuzuia usizae watoto?”
Psalms 105:42Kwa maana alikumbuka ahadi yake takatifu, 2 aliyompa Abrahamu mtumishi wake. 1
Psalms 127:3Wana ni urithi utokao kwa Bwana, 2 watoto ni zawadi kutoka kwake. 1