bible.software › Genesis › Genesis 30 › Genesis 30:34
Genesis 30:34
Labani akasema, “Ninakubali na iwe kama ulivyosema.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Laban said, Behold, I would it might be according to thy word.
In Context
33Uadilifu wangu utanishuhudia siku zijazo, kila utakapochunguza ujira ambao umenilipa mimi. Mbuzi yeyote wangu ambaye hana mabakabaka wala madoadoa, au mwana-kondoo ambaye si mweusi, atahesabika ameibwa.”
35Siku ile ile Yakobo akawaondoa beberu wote waliokuwa na mistari au madoadoa na mbuzi wake wote waliokuwa na mistari au madoadoa (wote waliokuwa na alama nyeupe juu yao) na wana-kondoo weusi wote, akawaweka chini ya uangalizi wa wanawe.
Read all of Genesis 30
Cross References
1 Corinthians 7:7Laiti watu wangekuwa kama mimi nilivyo. Lakini kila mtu amepewa kipawa chake kutoka kwa Mungu, mmoja ana kipawa cha namna hii na mwingine ana cha namna ile.
Galatians 5:12Laiti hao wanaowavuruga wangejihasi wao wenyewe!
This Verse In Other Editions
Study Genesis 30:34