Genesis 31:47
Labani akaliita Yegar-Sahadutha + 31:47 Yegar-Sahadutha maana yake ni Lundo la ushahidi kwa Kiaramu. na Yakobo akaliita Galeedi. + 31:47 Galeedi maana yake ni Lundo la ushahidi kwa Kiebrania.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Laban called it Jegar-sahadutha: but Jacob called it Galeed.
In Context
48Labani akasema, “Lundo hili ni shahidi kati yako na mimi leo.” Ndiyo maana likaitwa Galeedi.
Cross References
2 Samuel 24:6Walikwenda hadi Gileadi na pia eneo la Tahtimu-Hodshi, wakaendelea hadi Dani-Yaani na kuzunguka kuelekea Sidoni.