Genesis 32:25
Yule mtu alipoona kuwa hawezi kumshinda, aligusa kiungio cha nyonga ya Yakobo kwa hiyo nyonga yake ikateguka wakati alipokuwa akishikana mweleka na yule mtu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Kwa hiyo Yakobo akaachwa peke yake na mtu mmoja akashikana naye mweleka mpaka mapambazuko.
Cross References
Genesis 32:32Kwa hiyo mpaka leo Waisraeli hawali mshipa ulioungana na kiungio cha nyonga, kwa sababu kiungio cha nyonga ya Yakobo kiliteguliwa karibu na mshipa huo.
Psalms 30:6Nilipofanikiwa nilisema, 2 “Sitatikiswa kamwe.” 1
Isaiah 45:11“Hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli na Muumba wake: 1 Kuhusu mambo yatakayokuja, 2 je, unaniuliza habari za watoto wangu, 2 au kunipa amri kuhusu kazi za mikono yangu? 1
Hosea 12:4Alishindana na malaika na kumshinda; 2 alilia na kuomba upendeleo wake. 1 Alimkuta huko Betheli 2 na kuzungumza naye huko: 1
Matthew 26:41Kesheni na mwombe, msije mkaingia majaribuni. Roho iko radhi, lakini mwili ni mdhaifu.”
Luke 11:5Kisha akawaambia, “Ni nani miongoni mwenu mwenye rafiki yake, naye akamwendea usiku wa manane na kumwambia, ‘Rafiki, nikopeshe mikate mitatu.