Genesis 33:13
Lakini Yakobo akamwambia, “Bwana wangu unajua kwamba watoto ni wachanga na kwamba ni lazima nitunze hawa kondoo wake na ngʼombe wanaonyonyesha. Wakipelekwa kwa haraka hata kama ni kwa siku moja tu, wanyama wote watakufa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Ndipo Esau akasema, “Na tuendelee na safari, nitakuwa pamoja nawe.”
Cross References
Proverbs 12:10Mtu mwenye haki hujali mahitaji ya mnyama wake, 2 bali matendo ya huruma ya mwovu ni ukatili. 1
Ezekiel 34:15Mimi mwenyewe nitawachunga kondoo zangu na kuwafanya wapumzike, asema Bwana Mwenyezi.
John 21:15Walipokwisha kula, Yesu akamuuliza Simoni Petro, “Je, Simoni mwana wa Yohana, unanipenda kweli kuliko hawa?” Yeye akamjibu, “Ndiyo Bwana, wewe unajua ya kuwa ninakupenda.” Yesu akamwambia, “Lisha wana-kondoo wangu.”