Genesis 33:20
Pale akajenga madhabahu na kupaita El-Elohe-Israeli. + 33:20 El-Elohe-Israeli maana yake Mungu, Mungu wa Israeli au Mwenye Nguvu ni Mungu wa Israeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he erected there an altar, and called it El-elohe-Israel.
In Context
Cross References
Genesis 12:7Bwana akamtokea Abramu, akamwambia, “Nitawapa uzao wako nchi hii.” Hivyo hapa akamjengea madhabahu Bwana aliyekuwa amemtokea.
Genesis 13:18Basi Abramu akaondoa mahema yake, akaenda kuishi karibu na mialoni ya Mamre huko Hebroni, huko akamjengea Bwana madhabahu.
Genesis 32:28Ndipo yule mtu akasema, “Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israeli, + 32:28 Israeli maana yake Yeye ashindanaye na Mungu. kwa sababu umeshindana na Mungu na watu pia, nawe umeshinda.”
1 Chronicles 29:10Daudi akamhimidi Bwana mbele ya kusanyiko lote, akisema: 1 “Uhimidiwe wewe, Ee Bwana, 2 Mungu wa Israeli baba yetu, 2 tangu milele hata milele. 1