Genesis 34:16
Kisha tutawapa binti zetu na sisi tutawachukua binti zenu. Tutaishi kwenu na tutakuwa watu wamoja nanyi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Tutakuruhusu kwa sharti moja tu, kwamba mtakuwa kama sisi kwa kuwatahiri wanaume wenu wote.
17Lakini mkikataa kutahiriwa, tutamchukua ndugu yetu na kuondoka.”