bible.software › Genesis › Genesis 34 › Genesis 34:28
Genesis 34:28
Wakachukua kondoo na mbuzi, ngʼombe, punda na kila kitu kilichokuwa chao ndani ya mji ule na mashambani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They took their sheep, and their oxen, and their asses, and that which was in the city, and that which was in the field,
In Context
27Wana wa Yakobo walipita juu ya maiti katika kuteka nyara mji ule ambamo dada yao alikuwa amenajisiwa.
29Walichukua utajiri wao wote pamoja na wanawake na watoto wao, wakachukua nyara kila kitu ndani ya nyumba zao.
Read all of Genesis 34
Cross References
Deuteronomy 8:17Mnaweza kusema, “Uwezo wangu na nguvu za mikono yangu ndizo zilizonipatia utajiri huu.”
Job 20:5macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi, 2 nayo furaha ya wasiomcha Mungu hudumu kwa kitambo tu. 1
This Verse In Other Editions
Study Genesis 34:28