Genesis 34:8
Lakini Hamori akawaambia, “Moyo wa mwanangu Shekemu umeelekea kwa binti yenu. Tafadhali mpeni awe mke wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Oaneni na sisi, tupeni binti zenu, nanyi mchukue binti zetu.
Cross References
1 Kings 11:2Walitoka katika mataifa ambayo Bwana aliwaambia Waisraeli, “Msije mkaoana nao, kwa kuwa hakika wataigeuza mioyo yenu mgeukie miungu yao.” Hata hivyo, Solomoni akakaza kuwapenda.
Psalms 84:2Nafsi yangu inatamani sana, 2 naam, hata kuona shauku, 2 kwa ajili ya nyua za Bwana; 1 moyo wangu na mwili wangu 2 vinamlilia Mungu Aliye Hai. 1