Genesis 35:10
Mungu akamwambia, “Jina lako ni Yakobo, lakini hutaitwa tena Yakobo, jina lako utakuwa Israeli.” Kwa hiyo akamwita Israeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Baada ya Yakobo kurudi kutoka Padan-Aramu, Mungu alimtokea tena na kumbariki.
Cross References
Genesis 17:5Jina lako hutaitwa tena Abramu, bali jina lako litakuwa Abrahamu, + 17:5 Abrahamu maana yake Baba wa watu wengi. kwa maana nimekufanya wewe baba wa mataifa mengi.
Genesis 32:27Yule mtu akamuuliza, “Jina lako nani?” Akajibu, “Yakobo.”
1 Kings 18:31Eliya akachukua mawe kumi na mawili, moja kwa ajili ya kila kabila la wana wa Yakobo, ambaye neno la Bwana lilimjia, likisema, “Jina lako litakuwa Israeli.”