Mwanzo 35:8
Wakati huu Debora, mlezi wa Rebeka, akafa na akazikwa chini ya mti wa mwaloni ulioko chini ya Betheli. Kwa hiyo pakaitwa Alon-Bakuthi. + 35:8 Alon-Bakuthi maana yake Mwaloni wa Kilio.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Baada ya Yakobo kurudi kutoka Padan-Aramu, Mungu alimtokea tena na kumbariki.
Cross References
Genesis 24:59Hivyo wakamwaga ndugu yao Rebeka aondoke, pamoja na mjakazi wake, mtumishi wa Abrahamu na watu wake.
Judges 2:5Wakapaita mahali pale Bokimu. Nao wakamtolea Bwana sadaka. 1 Kifo Cha Yoshua
1 Chronicles 10:12mashujaa wao wote wakaondoka, wakautwaa mwili wa Sauli na miili ya wanawe, wakaileta Yabeshi. Wakaizika mifupa yao chini ya mti mkubwa huko Yabeshi, nao wakafunga kwa siku saba.