bible.software › Genesis › Genesis 36 › Genesis 36:14
Genesis 36:14
Wana wa Oholibama binti Ana, mkewe Esau, aliyekuwa mjukuu wa Sibeoni, aliomzalia Esau ni: 2 Yeushi, Yalamu na Kora.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And these were the sons of Aholibamah, the daughter of Anah the daughter of Zibeon, Esau’s wife: and she bare to Esau Jeush, and Jaalam, and Korah.
In Context
13Wana wa Reueli ni: 2 Nahathi, Zera, Shama na Miza. Hawa ndio waliokuwa wajukuu wa Basemathi mkewe Esau. 4
15Hawa ndio waliokuwa wakuu miongoni mwa wazao wa Esau: 1 Wakuu wa wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau ni: 2 Temani, Omari, Sefo, Kenazi,
Read all of Genesis 36
Cross References
Genesis 36:5Oholibama akamzaa Yeushi, Yalamu na Kora. Hawa ndio wana wa Esau waliozaliwa kwake huko Kanaani.
1 Chronicles 1:35Wana wa Esau walikuwa: 2 Elifazi, Reueli, Yeushi, Yalamu na Kora. 1
This Verse In Other Editions
Study Genesis 36:14