bible.software › Genesis › Genesis 36 › Genesis 36:16
Genesis 36:16
Kora, Gatamu na Amaleki. Hawa ndio waliokuwa wakuu waliotoka kwa Elifazi huko Edomu, waliokuwa wajukuu wa kiume wa Ada. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Duke Korah, duke Gatam, and duke Amalek: these are the dukes that came of Eliphaz in the land of Edom; these were the sons of Adah.
In Context
15Hawa ndio waliokuwa wakuu miongoni mwa wazao wa Esau: 1 Wakuu wa wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau ni: 2 Temani, Omari, Sefo, Kenazi,
17Wakuu wa wana wa Reueli, mwana wa Esau ni: 2 Nahathi, Zera, Shama na Miza. Hawa ndio wakuu waliotoka kwa Reueli huko Edomu, waliokuwa wajukuu wa kiume wa Basemathi mkewe Esau. 1
Read all of Genesis 36
Cross References
Exodus 15:15Wakuu wa Edomu wataogopa, 2 viongozi wa Moabu watatetemeka kwa hofu, 1 watu wa Kanaani watayeyuka, 2
This Verse In Other Editions
Study Genesis 36:16