Genesis 36:35
Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake. 1
36Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake. 1
Cross References
Genesis 25:2Huyu alimzalia Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua.