Genesis 36:39
Baal-Hanani mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
38Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake. 1
Cross References
1 Chronicles 1:50Baal-Hanani alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.