Genesis 38:12
Baada ya muda mrefu mke wa Yuda binti wa Shua akafariki. Baada ya msiba, Yuda alikwenda Timna, kwa watu waliokuwa wakikata kondoo wake manyoya, naye alifuatana na rafiki yake Hira Mwadulami.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Tamari alipoambiwa, “Baba mkwe wako yuko njiani kwenda Timna kukata kondoo wake manyoya,”
Cross References
Genesis 24:67Ndipo Isaki akamwingiza Rebeka katika hema la Sara mama yake, Isaki akamchukua Rebeka, hivyo akawa mke wake. Isaki akampenda, akafarijika baada ya kifo cha mama yake.
Genesis 38:1Wakati ule, Yuda akawaacha ndugu zake, akaenda kuishi na Hira Mwadulami.
Joshua 15:35Yarmuthi, Adulamu, Soko, Azeka,
Joshua 15:57Kaini, Gibea na Timna; miji kumi pamoja na vijiji vyake. 1
Judges 14:1Samsoni akateremkia Timna, akamwona mwanamke wa Kifilisti.
1 Samuel 25:36Abigaili alipokwenda kwa Nabali, alikuwa ndani ya nyumba yake akifanya karamu kama ile ya mfalme. Naye alikuwa ana furaha nyingi, akiwa amelewa sana. Kwa hiyo Abigaili hakumwambia mumewe kitu chochote mpaka asubuhi yake.