Genesis 40:2
Farao akawakasirikia hawa maafisa wake wawili, mnyweshaji mkuu na mwokaji mkuu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Baada ya muda, mnyweshaji na mwokaji wa mfalme wa Misri, wakamkosea bwana wao, mfalme wa Misri.
Cross References
Psalms 76:10Hakika ghadhabu yako dhidi ya wanadamu inakuletea sifa, 2 na masalia ya ghadhabu yako unajifunga mshipi. 1
Proverbs 19:12Ghadhabu ya mfalme ni kama mngurumo wa simba, 2 bali wema wake ni kama umande juu ya nyasi. 1
Proverbs 27:4Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, 2 lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? 1