Mwanzo 42:17
Akawaweka wote chini ya ulinzi kwa siku tatu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he put them all together into ward three days.
In Context
18Siku ya tatu Yosefu akawaambia, “Fanyeni hili nanyi mtaishi, kwa maana namwogopa Mungu:
Cross References
Genesis 40:4Mkuu wa kikosi cha ulinzi akawakabidhi kwa Yosefu, naye akawahudumia. Walipokuwa wamekaa chini ya ulinzi kwa muda,
Genesis 41:10Wakati fulani Farao aliwakasirikia watumishi wake, akanifunga mimi na mwokaji mkuu katika nyumba ya mkuu wa ulinzi.
Psalms 119:65Mtendee wema mtumishi wako 2 Ee Bwana, sawasawa na neno lako. 1
Acts 4:3Wakawakamata Petro na Yohana na kuwatia gerezani mpaka kesho yake kwa kuwa ilikuwa jioni.
Hebrews 12:10Baba zetu walituadibisha kwa kitambo kidogo kama wao wenyewe walivyoona vyema, lakini Mungu hutuadibisha kwa faida yetu ili tupate kushiriki utakatifu wake.