bible.software › Genesis › Genesis 43 › Genesis 43:13
Genesis 43:13
Mchukueni ndugu yenu pia mrudi kwa huyo mtu mara moja.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Take also your brother, and arise, go again unto the man:
In Context
12Chukueni fedha mara mbili, kwa kuwa mtazirudisha zile fedha zilizowekwa midomoni mwa magunia yenu. Labda ziliwekwa kwa makosa.
14Naye Mungu Mwenyezi + 43:14 Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote). awajalieni rehema mbele ya huyo mtu ili apate kumwachia yule ndugu yenu na Benyamini mweze kurudi pamoja. Kwangu mimi kama nikufiwa nimefiwa.”
Read all of Genesis 43
This Verse In Other Editions
Study Genesis 43:13