Genesis 43:18
Basi watu hao wakaogopa walipopelekwa nyumbani kwa Yosefu. Wakafikiri, “Tumeletwa hapa kwa ajili ya zile fedha zilizorudishwa katika magunia yetu mara ile ya kwanza. Anataka kutushambulia na kutushinda, atuchukue sisi kama watumwa, na atwae hawa punda zetu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Yule Msimamizi akafanya kama Yosefu alivyomwambia na akawachukua wale watu nyumbani kwa Yosefu.
19Hivyo wakamwendea msimamizi wa nyumba wa Yosefu na kuzungumza naye kwenye ingilio la nyumbani.
Cross References
Genesis 42:27Walipofika mahali pa kulala huko njiani mmoja wao akafungua gunia lake ili amlishe punda wake, akakuta fedha yake kwenye mdomo wa gunia lake.
Genesis 42:35Walipokuwa wanamimina nafaka kutoka kwenye magunia yao, ndani ya gunia la kila mtu kulikuwa na mfuko wa fedha! Wakati wao na baba yao walipoona mifuko ya fedha, wakaogopa.
Deuteronomy 22:14akimsingizia na kumwita jina baya, akisema, “Nilimwoa mwanamke huyu, lakini nilipomkaribia sikupata uthibitisho wa ubikira wake”
Judges 13:22Manoa akamwambia mkewe, “Hakika tutakufa, kwa kuwa tumemwona Mungu.”
Job 15:21Sauti za kutisha hujaa masikioni mwake; 2 katika kufanikiwa kwake, wanyangʼanyi humshambulia. 1
Psalms 53:5Hapo waliingiwa na hofu kuu, 2 ambapo hapakuwa cha kutetemesha. 1 Mungu alitawanya mifupa ya wale waliokushambulia; 2 uliwaaibisha, kwa sababu Mungu aliwadharau. 1